Putin asema kampuni inayomilikiwa na Prigozhin itafanyiwa uchunguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Katika hotuba iliyopeperushwa na kituo cha telvisheni cha serikali Jumanne, kati ya mengine Putin alisema kampuni ya upishi inayomilikiwa na kiongozi wa kundi la mamluki, yevgney Prigozhin ililipwa fedha ambazo matumizi yake huenda yanatiliwa shaka.