Siku ya Wakimbizi Duniani yaadhimishwa huku wanawake na watoto wakitajwa kuathirika
Your browser doesn’t support HTML5
Dunia inaadhimisha siku ya wakimbizi na kauli mbiu Matumaini mbali na nyumbani ambapo mara nyingi katika maeneo ya mizozo waathirika ni wanawake na watoto