Uhusiano wa Marekani na China waingia hatua mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Uhusiano wa Marekani na China waingia hatua mpya baada ya waziri wa mambo ya nje Blinken kuwa kiongozi wa kwanza katika wadhifa huo kukutana na kiongozi wa China tangu mwaka 2018