Trump afika mbele ya hakimu mjini Miami, akanusha mashtaka katika kesi ya kihistoria
Your browser doesn’t support HTML5
Trump afika mbele ya hakimu mjini Miami, Florida, akanusha mashtaka katika kesi ya kihistoria ambayo inafuatiliwa kwa karibu na Wamarekani wengi.