Donald Trump, rais wa kwanza wa zamani wa Marekani ajisalimisha na kukamatwa na kusomewa mashtaka ya uhalifu.

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.