Viongozi wa Umoja wa nchi za Kiarabu wamkaribisha tena al-Assad

Your browser doesn’t support HTML5

Ni mara ya kwanza kwa Rais wa Syria Bashar al Assad anahutubia chombo hicho tangu Syria ilipoondolewa kutoka Umoja wa nchi za kiarabu mwaka 2011 kufuatia ukamataji wake alioufanya kwa waandamanaji wanaompinga ndani ya Syria.