Wizara ya mambo ya nje ya Iran imetangaza itafungua tena ofisi zake za kibalozi nchini Saudi Arabia wiki hii

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.