Vijana Tanzania wahimizwa kuwa na moyo wa utendaji ili kuleta mabadiliko katika masuala ya Mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia inaadhimisha siku ya Mazingira mwanaharakati Naykorema Ryoba amewataka vijana wa Tanzania kuwa na moyo wa utendaji ili kuleta mabadiliko katika masuala ya Mazingira