Maandamano yafanyika Arusha kuwataka viongozi wa EAC kuzungumzia sheria iliyoibua utata Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Makundi mbalimbali yalifanya maandamano mjini Arusha kuunga mkono sheria kali ya kuwaadhibu watu wa mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda na kutaka viongozi wa EAC kutoa tamko.