Wanawake wa DRC waeleza masikitiko yao kutokana na utendaji wa mahakama ya ICC

Your browser doesn’t support HTML5

Mwendesha mashitaka akijaribu kurejesha uhusiano kati ya mahakama hiyo na DRC lakini wanawake wa DRC waeleza masikitiko yao kutokana na utendaji wa mahakama hiyo