Baraza la wawakilishi Marekani lapitisha mswada wa kuongeza muda wa serikali kukopa.

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya vuta nikuvute ya wiki kadhaa, hatimaye araza la Wawakilishi la Marekani Jumatano lilipitisha mswada wa kuongeza muda wa serikali kukopa.