Marekani yashutumu sheria mpya ya kupinga mapenzi ya jinsia moja Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ameishutumu sheria mpya ya Uganda inayopinga mapenzi ya jinsia moja na kusema kuwa inakiuka haki za binadamu, na inahatarisha maendeleo ya uchumi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.