Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini kuwa sheria mswaada wenye utata wa kupinga mapenzi ya jinsia moja bunge la nchi hiyo limesema

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.