Baraza la wawakilishi linatarajiwa kujadili mswaada wa kuongeza ukomo wa Marekani kukopa pesa zaidi kufadhili shughuli za serikali kuu

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.