Wanawake kati ya 50,000 hadi laki moja duniani wanaathirika na Fistula. Na visa vipya 30,000 hadi 90,000 huongezeka kila mwaka barani Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.