Kijana Paschal kutoka Tanzania anaeleza mchango wa AU kwa vijana katika kuboresha na ukuzaji demokrasia, utawala bora na ajira barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.