Umoja wa Afrika waadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake
Your browser doesn’t support HTML5
Umoja wa Afrika umeadhimisha miaka 60 tangu uundwe Mei 25 mwaka 1963, ukiadhimisha mafanikio yake katika miongo sita iliyopita ulipojulikana kama Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU)