Rais wa Syria Bashar Assad amehutubia kwa mara ya kwanza mkutano wa umoja wa nchi za kiarabu tangu nchi yake ilipotolewa kwa umoja huo 2011
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.