Wilson Fungameza kutoka Tanzania ni mmoja kati ya wauguzi 10 kimataifa waliopokea tuzo ya muuguzi bora duniani 2023 huko London

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.