Pande zinazopingana Sudan kurejea kwenye mazungumzo Jumapili
Your browser doesn’t support HTML5
Pande zinazopingana Sudan kurejea kwenye mazungumzo Jumapili huku mashambulizi ya anga na mapigano makali yakiendelea usiku kucha kuzunguka Khartoum licha ya makubaliano ya kuwalinda raia.