Livetalk: Majadiliano kuhusu hali ya uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki na kwingineko

Your browser doesn’t support HTML5

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari mwaka huu yalifanyika rasmi Mei 3, kauli mbiu ikiwa ni “Kuunda mustakbali wa haki: uhuru wa kujieleza kama chachu ya haki zote za binadamu.” Wageni wetu wanajadili hilo.