Je, ugonjwa wa malaria unaweza ukawa historia Tanzania?

Your browser doesn’t support HTML5

Kutana na fundi viatu akieleza ugonjwa wa kwanza uliosababisha yeye kulazwa hospitali. Anaeleza kuwa ugonjwa huo ni Malaria ambayo bado ni kero kubwa kwa sababu hujirejea kila baada ya miaka mitatu au zaidi.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea habari njema kuhusu chanjo ya malaria ambayo anaeleza inaweza ikafanya ugonjwa wa malaria nchini Tanzania kuwa ni historia. Endelea kusikiliza..