USAID imefadhili tamasha la vijana huko Ethiopia linalolenga kufungua fursa za ajira, uongozi na huduma za afya kwa vijana nchini humo
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.