Waziri Mkuu wa zamani nchini Sudan Abdalla Hamdok anaonya kuhusu hatari ya mapigano kutumbukia vita kamili vya wenyewe kwa wenyewe

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.