IMF yabaini kuwa uchumi wa duniani umegubikwa na mfumuko wa bei
Your browser doesn’t support HTML5
Ubashiri wa uchumi wa dunia mwaka huu umegubikwa na mfumuko wa bei uliokithiri, kupanda kwa viwango vya riba na kutokuwa na uhakika kutokana na kuanguka kwa benki mbili kubwa za Marekani. Huo ni mtazamo wa Shirika la Fedha Duniani, ambalo Jumanne lilitoa ubashiri wake wa ukuaji wa uchumi duniani.