Wasanii wa Rwanda watumia sanaa yao kuhamasisha amani huku wakihofia kuuawa kama wenzao
Your browser doesn’t support HTML5
Wasanii wa Rwanda wanatumia sanaa yao kuhamasisha amani wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya 1994 huku wakihofia kuuawa kama wenzao ambao walipoteza maisha au kutoweka kwa mazingira tatanishi.