Ndoa za kuandaliwa na wazazi zinafaa au hapana vijana wazungumza
Your browser doesn’t support HTML5
Suala la ndoa za kundaliwa limeonekana katika baadhi ya jamii mbali mbali barani Afrika, je hili ni jambo jema la kudumisha au la, hasa ikishuhudiwa katika siku za karibuni ndoa zikivunjika kwa kiasi kikubwa.