Jamii ina jukumu gani katika kulinda usalama wa eneo wanaloishi pale wanapomuona mgeni amehamia au kuwekeza katika eneo lao?

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi