Mvutano waongezeka kati ya China na Marekani baada ya rais wa Taiwan kumtembelea Spika McCarthy
Your browser doesn’t support HTML5
Mkutano kati ya rais wa Taiwan Tsai Ing'wen na spika wa baraza la wawakilishi Kevin McCarthy imeendelea kuongeza mvutano kati ya China na Marekani, huku China ikiukosoa vikali.