Mhandisi wa ndege kutoka Burundi ashinda tuzo Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Muhandisi wa ukaguzi wa ngege katika kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing, George Ndayizeye, ambaye amekulia Burundi, ameshinda tuzo ya mwaka 2023 ya wahandisi weusi ya Legacy, na alizungumza na mwandishi wa VOA