Mwanaharakati wa vijana Said wa Mombasa nchini Kenya anasema vijana wanatumiwa na wanasiasa kufanya maandamano kutokana na shida ya ajira

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.