Biden kuhudhuria hafla ya kumbukumbu ya "Bloody Sunday"
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden Jumapili alitazamiwa kutoa heshima kwa mashujaa wa moja ya matukio muhimu zaidi katika historia ya Marekani, maarufu Bloody Sunday, yani "Jumapili ya Umwagaji damu," katika mji wa Selma, jimbo la Alabama.