Macron aelezea imani kwamba amani itarejea mashariki mwa DRC kuanzia Jumanne
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akiwa nchini DRC, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Afrika, amesema kuwa pande zote zinazozozana katika mgogoro wa kiusalama unaokumba mashariki mwa nchi hiyo, zitaheshimu makubaliano ya usitishaji wa mapigano.