Kundi la vijana wa Lucha huko DRC linaendelea kufanya maandamano kupinga ziara ya Jumamosi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.