Wakenya wanaamini nchi inaelekea katika mwelekeo usio sahihi, utafiti mpya uliofanywa na kampuni ya kupigia kura ya Infotrak unaonyesha

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.