Serikali ya Kenya yatoa leseni ya kiwanda cha gesi kwa mfanyabiashara kutoka Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Kenya yatoa leseni ya kiwanda cha gesi kwa mfanyabiashara bilionea kutoka Tanzania katika jiji la Mombasa.