Ruto ashutumiwa kudhoofisha upinzani
Your browser doesn’t support HTML5
Mgawanyiko umetokea ndani ya chama cha Jubilee baada ya baadhi ya wabunge wake kuahidi kushirikiana na serikali huku Rais William Ruto akishutumiwa kudhoofisha upinzani.
Your browser doesn’t support HTML5