Gavana wa zamani wa jimbo la South Carolina Nikki Haley anatangaza nia yake ya kuwania urais Marekani katika uchaguzi wa mwaka 2024

Your browser doesn’t support HTML5

Hafla ya kuanza kampeni ya Haley inakuja siku moja baada ya kutangaza rasmi kuwania urais akisisitiza katika video za mitandao ya kijamii kwamba "ni wakati wa kizazi kipya cha uongozi."