Maandamano makali yafanyika kwenye mji wa Beni, DRC yakiitisha kuondoka kwa vikosi vya kigeni na hasa vya Kenya kwa madai ya kutosaidia .
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.