Papa Francis ayataka makanisa Sudan Kusini kupaza sauti dhidi ya udhalimu

Your browser doesn’t support HTML5

Papa Francis alisema Jumamosi Makanisa nchini Sudan Kusini hayawezi kutoelemea upande wowote lazima yapaze sauti zao dhidi ya udhalimu na matumizi mabaya ya madaraka.