Papa Francis amekamilisha ziara yake huko DRC na sasa ameshawasili nchi ya Sudan Kusini kwa ziara nyingine
Your browser doesn’t support HTML5
Papa Francis amelisihi taifa la DRC kujenga amani huku akiwataka vijana kupendana kwa maslahi ya taifa lao. Mtazamo kama huo unabashiriwa kujitokeza Sudan Kusini katika nchi yenye utajiri wa mafuta ambayo pia inapitia mapigano