Papa Francis awataka vijana "kutojiingiza katika uovu"

Your browser doesn’t support HTML5

Akiendelea na ziara yake nchini DRC, kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Papa Francis amewataka vijana "kutojiingiza katika uovu."