Waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia wachukua mji wa Kichanga, kilomita 80 kutoka Goma kutoka mikononi mwa jeshi la serikali.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.