Rais Museveni na viongozi kadhaa wa serikali Uganda washuhudia kuanza kwa kazi ya uchimbaji katika kisima cha Kingfisher
Your browser doesn’t support HTML5
Uganda waanza uchimbaji wa mafuta kwa mara ya kwanza ambapo Rais Yoweri Museveni na viongozi kadhaa wa serikali wamekutana kushuhudia kuanza kwa kazi ya uchimbaji katika kisima cha Kingfisher katika wilaya za Kikuube na Hoima