Msemaji wa Rais Fleix Tshisekedi, Tina Salama ameiambia Sauti ya Amerika kwamba viongozi wa kanda ya maziwa makuu wamekubaliana kwamba kuna haja ya kutekeleza makubaliano ya Luanda na Nairobi kwa haraka iwezekanavyo.
Viongozi wa Kanda ya Maziwa Makuu wazungumzia juhudi za amani DRC walipokutana Washington
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa Afrika Mashariki na Kati wamezungumzia juhudi za kupatikana amani mashariki ya Jamhuri ya Kongo, walipokutana mjini Washington, kando ya Mkutano wa viongozi kati ya Marekani na Afrika Mapema mwezi Disemba.