Serikali ya Tanzania imesisitiza haitatumia teknolojia ya mbegu za GMO lakini wataalam wake hawataacha kujifunza matumizi yake

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema wataendelea kujifunza kutoka nchi ambazo zimeanza kutumia teknoljia hiyo ya GMO kwa sababu serikali ya Tanzania haiwezi kuingia kwenye mjadala wa kutumia au kutokutumia teknolojia hiyo bila kufahamu undani wake