Kampuni ya magari ya BMW imeonyesha gari la kwanza ulimwenguni lenye uwezo wa kubadilisha aina 32 za rangi ambazo zinamvutia dereva

Your browser doesn’t support HTML5

Maonyesho hayo ya siku nne ambayo yamewakutanisha pamoja wavumbuzi wa teknolojia wenye ushawishi mkubwa ili kuonyesha bidhaa mpya na kufanya mikataba inaelezwa tayari yamevunja rekodi za mahudhurio ya watu laki moja huko Las Vegas kwenye jimbo la Nevada nchini Marekani