China inapinga masharti mapya ya COVID kwa wasafiri ikisema hatua hizo hazina msingi wa kisayansi

Your browser doesn’t support HTML5

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Mao Ning aliwaambia waandishi wa habari katika mkutano kwamba China inaweza kuanzisha "hatua za kukabiliana nazo kwa kuzingatia kanuni ya usawa"