Mwanaharakati Saadia anayepinga ukeketaji wa wasichana na wanawake anasema ni vyema wasichana wafahamu haki zao wakiwa bado wadogo

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Brighter Society Association nchini Kenya ambaye pia alipokea tuzo ya Coins of Light kutoka kwa Malkia Elizabeth wa Uingereza anasema tuzo hiyo inamjenga katika kubuni harakati zaidi za kupambana na ukeketaji dhidi ya wasichana Afrika mashariki