Siku 100 za rais Ruto madarakani wachambuzi wanasema apewe muda

Your browser doesn’t support HTML5

Siku 100 za Rais Rutto madarakani utafiti ambao umefanywa na shirika la Infotrak, unaonyesha kwamba asilimia 52.1 ya wakenya wanafurahishwa na utendakazi wa rais wa nchi hiyo William Ruto,